For a better experience please change your browser to CHROME, FIREFOX, OPERA or Internet Explorer.
Real Estate / Majengo

MIKOPO YA VIWANJA & MASHAMBA BILA DHAMANA WALA RIBA


Description
Price : Tsh10,000
Type : Sell
Date : July 16, 2018
Location : Dar es Salaam, Tanzania
*VKP INVESTMENT FOR YOUTH*
MIKOPO BILA DHAMANA & RIBA
P.O.BOX 19761
DAR ES SALAAM
MWALIMU HOUSE, ILALA BOMA, UHURU ROAD, FLOOR NO.5 
*Kampuni inajishughulisha na uuzaji na ukopeshaji wa VIWANJA & MASHAMBA, UPIMAJI kwa MKOPO RAHISI USIO NA RIBA WALA DHAMANA*
*HUDUMA ZETU* 
*1) VIWANJA VYA MAKAZI* 
-Kinyerezi Kifuru
-Pugu Kinyamwezi
-Goba
-Kimbiji (Beach plots)
-Kimbiji Kidaga
-Mwembe Mdogo
-Toa Ngoma
-Ngobanya
-Mlandizi
-Kibada
-Kerege Tumba
-Kerege Amani
-Kubangaiza
-Fukayosi Mita 700
-Gezaulole
-Mwasanga
-Kisonga Zamani
-Kisonga Mpya
-Kiharam
-Makuruge *
2) MASHAMBA KWA MKOPO/TASLIMU*
-Bagamoyo
-Kidomole
-Vigwaza
Fukayosi KM 3
-Fukayosi KM 8
-Fukayosi KM 9
-Fukayosi KM 13
-Fukayosi KM 14 
*3) UPIMAJI*
-Utambuzi
-Uandaaji wa michoro ya mipango miji
-Upimaji 
4)MALIPO*
Mfumo wa malipo kwa viwanja kwa mashamba *Viwanja*
-Muda wa malipo ni miezi 36 (miaka 3), mteja atatakiwa kulipia asilimia 25% tu kwa mwezi wa kwanza kisha baada ya hapo atatakiwa kulipia asilimia 5% kwa miezi 17 inayofuata (flat rate) -Muda wa malipo ni miezi 18 (mwaka mmoja na nusu), mteja atatakiwa kulipa asilimia 15% tu kwa mwezi wa kwanza, kisha mteja atatakiwa kulipa aslimia 5% tu kwa miezi 35 iliyobaki (flat rate). *Mashamba*
-Muda wa malipo ni miezi 18 (Mwaka mmoja na nusu) ambapo awamu ya kwanza mteja atatakiwa kulipia asilimia 15% tu, kisha mteja atatakiwa kulipa asilimia 5% tu kwa miezi 17 iliyobaki 
*CONTACTS*
-Kwa maelezo ya ziada, mazuri zaidi naomba tuwasiliane kupitia mawasiliano yangu hapa chini *Mobile:* 0659542464
or 
0739542464
or
[email protected] *facebook/instagram:* sadk suleh barca
Consider: kwa meelezo ya ziada zingatia mawasiliano hapo juu, tunakuthamini mteja muda wowote ukihiji kupelekwa site kuona mashamba, viwanja na huduma nyingine basi utapelekwa bila tatizo. 
*Ahsante sana* 
*Marketing Executive*

Mention maelewano.co.tz when calling seller to get a good deal

 


Post your rating

Similiar Ads